Oh BABA, Nilikua nafikiria kwamba mimi na wewe tutaishi
milele.
sijahamini ya kwamba wakati wako huu karibu.
ukienda mama mpendwa.
naogopa kukaa peke yangu hapa,
ukienda mama.
nainamia kichwa changu karibu na chako,
kukupatia shuku na kutereza nywele yako.
na mungu yu jua kuwa nawe ndio maisha.
This poem has not been translated into any other language yet.
I would like to translate this poem