Nasikika Nikisema Poem by Amos Christopherson Masereka

Nasikika Nikisema

Mpenzi, mbona wanitupilia mbali?
Na kuniacha katika ziwa la mashaka,
Kisha nikapata mawazo kwamba,
Nasikika nikisema
Labda kuna sababu,
Kuhusu hilo jambo,
Lakini ikiwa ni hivyo,
Nasikika nikisema
Hatua fanya nipate furaha,
Mpenzi, kwani kwangu kusikia uzoefu,
Angalau ningeambiwa nini kiendeleacho.
Nasikika nikisema

COMMENTS OF THE POEM
READ THIS POEM IN OTHER LANGUAGES
Amos Christopherson Masereka

Amos Christopherson Masereka

Kyambogho I- Bwera- Kasese- Uganda.
Close
Error Success