Sundus Poem by Hudhaifah Siyad

Sundus

Kwangu moyoni,
Hutoki asilani,
Sundus nlktamani,
Vyovyote vile kukuamini,

Tangu kitambo mwakani,
Nlkupa zangu rohoni,
Uwe wngu maishani,
Wa milele duniani....

Skiza langu hani,
Lisilo la utani,
Ndotoni au kitini,
Upo kwangu akilini,
Likija la shetani,
Siwe wa kjtia mashakani,
Kuwa mpenzi wa dini,
Nami nweke moyoni...

Wakisema sisi majinuni,
Wakisema tuko ujingani,
S'kze mahayawani,
Kamwe usiwaamini,

Kwako haitakua lini,
Kwangu si wazo geni,
Nlikupenda toka zamani,
Tangu zama za walo kaburini,

COMMENTS OF THE POEM
READ THIS POEM IN OTHER LANGUAGES
Close
Error Success