Saul Nassilah

Rookie (May 25th / Nairobi, Kenya)

Dhaminika

niwewe ninae dhamini,
nakudhamini kuwa rafiki,
nakudhamini kwa mapenzi yako,
zaidi ya dhamana ya madini,
mola akujalie,
mola akubariki,
akuhifadhi akujalie dhamana,
udhaminike mbele zake,
udhaminike mbele za wafalme

[Report Error]