1 Mja ninanena, neno la hikima,
Sio kuwachana, wenye taadhima,
Naweka bayana, mbaini hima,
Mjuwe hakuna, mume wa waume.
2Mume wa waume, dunia hakuna,
Tawa gumegume, gwiji kijiona,
Japo nyamaume, tatishwa na wana,
Sijifanye pwagu, tapata pwaguzi.
This poem has not been translated into any other language yet.
I would like to translate this poem
Kiswahili kitukuzwe.! ! ! ! ! !