Nilikupenda lakini nikakukosa,
Uliniacha nikawa, kujikosa maulana,
Nikafa kwa uchochole, wa roho dhoofu
Shani kitendawili, vilievile mahaba,
Kamwe hakuna, ilhali mbinguni juu,
Nilifikiria naogelea, kumbe nazama,
Naenda zangu,
Nyuma sigeuki,
Yameisha naenda,
Safari yakujisalimisha,
Kwani roho yangu dhaifu.
This poem has not been translated into any other language yet.
I would like to translate this poem