Amos Christopherson


Nasikika Nikisema - Poem by Amos Christopherson

Mpenzi, mbona wanitupilia mbali?
Na kuniacha katika ziwa la mashaka,
Kisha nikapata mawazo kwamba,
Nasikika nikisema
Labda kuna sababu,
Kuhusu hilo jambo,
Lakini ikiwa ni hivyo,
Nasikika nikisema
Hatua fanya nipate furaha,
Mpenzi, kwani kwangu kusikia uzoefu,
Angalau ningeambiwa nini kiendeleacho.
Nasikika nikisema


Comments about Nasikika Nikisema by Amos Christopherson

There is no comment submitted by members..Read this poem in other languages

This poem has not been translated into any other language yet.

I would like to translate this poem »

word flags

What do you think this poem is about?Poem Submitted: Friday, December 27, 2013[Report Error]