Abdallah Mpogole

Rookie - 8 Points (30, July 1982 / Iringa, Tanzania)

Abdallah Mpogole Poems

1. Brother Same Mother 1/4/2011
2. Cry For Culture. 8/1/2010
3. Dreiniam 5/31/2012
4. Eduadi Viraka 5/8/2011
5. Ewe Nyota. 8/4/2010
6. Hear The Words 5/24/2011
7. I Cant Sleep 5/14/2010
8. I Listerned To. 4/7/2011
9. Ikulu Kunani? 8/4/2010
10. Jwani Ikusa 7/16/2010
11. Keshachoka Usukani 8/4/2010
12. Kichaa Anena. 8/4/2010
13. Kiswahili Weye Wangu 6/30/2013
14. Living In 9/1/2010
15. Mighty 5/15/2010
16. Migomo 8/2/2010
17. Mu Wapi Wafasiri. 8/5/2010
18. Muhogo Mtamu. 6/28/2010
19. Napenda Kuandika. 6/28/2010
20. Nazaliwa Leo 5/8/2011
21. Nduguyo 5/31/2012
22. Nilale Niote? 8/4/2010
23. Nimechoka 6/22/2010
24. Nimekukumbuka Sana. 7/8/2010
25. Nimeuona Mwezi (Mtukufu) 6/30/2013
26. Not Tomorrow 9/8/2010
27. Nyerere Baba. 7/16/2010
28. Raha Ya Choo 7/18/2012
29. Rumour Bowl 1/4/2011
30. Safari 5/14/2010
31. Siri Ya Kupata 8/4/2010
32. Sleeper 8/10/2010
33. Somalia 7/16/2010
34. Stay Calm They Say. 6/28/2010
35. Thamaniye Chupi 7/9/2013
36. That Day 1/4/2011
37. The Sea 10/17/2010
38. The Secret 27 Number 5/14/2010
39. Umri Waenda 9/8/2010
40. Unga 8/10/2010
Best Poem of Abdallah Mpogole

Raha Ya Choo

Salaam zenu Malenga, karibuni chooni kwangu.
Nimeshindwa kujivunga, kwani haja Dondandugu.
Choo changu nakipanga, kinitibu haja zangu.
Raha ya choo najua, Na sio cha kudowea.

Choo changu ki karibu, hatua chache najongea.
Si choo cha nasibu, tunu ya wapitanjia,
Si choo cha kuwa Bubu, kwa harufu kunukia.
Raha ya choo mvuto, kiingia taki toka.

Choo changu ki liwazo, nasonona ugenini.
Nikutapo vya uozo, najutia ni kwanini.
Nalipia kwa viwango, hudumaze si yakini.
Raha ya choo hisia, mfano wa kwamini dini.

Choo hiki maridhia, sikosi ...

Read the full of Raha Ya Choo

I Cant Sleep

I cant sleep with no word to you;
I cant say without knowing who,
I cant play before i can play some with you'

Sleep i owe is for you,
Dream that you go was for me and you!
Is that, what is true? me hunt you!

Because of you, that i wrote sleeping,

[Report Error]