Hudhaifah Siyad

Rookie - 74 Points (16th oct 1990 / Kenya)

Mapenzi Moto Moto (Swahili Language) - Poem by Hudhaifah Siyad

Uliniahidi penzi,
Si jana, si juzi,
Si leo, si kesho,
Wangu kidosho,
langu penzi hadi mwisho.

Uwe wangu wa milele,
Nikatae nipe kiwewe,
Nkubali nipige kelele,
kwa nguvu uskie wewe.

Napo sasa naamua,
Kutoka kwetu kutimua,
Karibu nawe naja,
Kutimiza langu haja.

Wazaziyo nawajia,
Hoja langu kuwaambia,
Nao mkazo nalitia,
Uwe wangu malikia,
Milele kwa hii dunia.


Comments about Mapenzi Moto Moto (Swahili Language) by Hudhaifah Siyad

  • (4/26/2018 11:14:00 PM)


    Add a comment.Nice (Report) Reply

    0 person liked.
    0 person did not like.
  • (12/16/2011 1:28:00 PM)


    Very interesting yaani. (Report) Reply

Read all 2 comments »Read this poem in other languages

This poem has not been translated into any other language yet.

I would like to translate this poem »

word flags

What do you think this poem is about?Poem Submitted: Friday, December 16, 2011

Poem Edited: Saturday, December 17, 2011


[Report Error]