Shukurani Eduafya Poem by priscah Mutswenje

Shukurani Eduafya

Shukrani kwa taifa, kumudu hali tamba
Bima yetu EduAfya, metupa afya bomba
Na Maisha kaongozwa, kwa weledi tosombe
Sasa maradhi kutishwa, kwa mipango kabambe

Umetujali kiafya, kwa mali nayo hali
Gharama meipunguza, twingapo spitali
Kadi kuzitanguliza, afya kuifadhili
Hongera sana EduAfya, metuaa zigo mbali

Matibabu lokolea, wagonjwa si twapata
Matatizo mendokea, bilahsi i kashata
Madawa twapokea, bila kwio matata
Ajali ikitokea, watufaa utata

Ng'ambo sis twaabiri, kwa mpango huu afya
Na wakiwemo wasafiri, walozidiwa chafya
Kaileta kuu shari, mfukjenu kubofya
Kuivua i hatari, metufaa eduAfya

Ni pongezi EduAfya, tawasifu tatunga
Ka kuokoa mamia, vibwebwe tutafunga
Wependwa wametufaa, kabla kutupanga
Bima i meshabikia, kuupokea mwanga

Tuziimbe zote tenzi, ndiposa kushukuru
Kwa miaka tutakuensi, kwangaza kwetu nuru
Metumilka kurunzi, miale ilo huru,
Nyinyi hakika watunzi, kutuwekea duru

Wasiwasi meshazika, kuwazia la kutenda
Maradhi yakifika, vituoni takwenda
Peresheni tutashika, uvimbe tutashinda
Makali tutayazika, afya yetu kulinda.

Maumivu mepunguza bima twashabikia
Hata ng'ambo kuangaza, tiba kufikia
Hongera we kutulaza, mapenzi lotujia
Wengi unatupendeza, poengezi EduAfya.

COMMENTS OF THE POEM
READ THIS POEM IN OTHER LANGUAGES
Close
Error Success