Hudhaifah Siyad

Rookie - 74 Points (16th oct 1990 / Kenya)

Sundus - Poem by Hudhaifah Siyad

Kwangu moyoni,
Hutoki asilani,
Sundus nlktamani,
Vyovyote vile kukuamini,

Tangu kitambo mwakani,
Nlkupa zangu rohoni,
Uwe wngu maishani,
Wa milele duniani....

Skiza langu hani,
Lisilo la utani,
Ndotoni au kitini,
Upo kwangu akilini,
Likija la shetani,
Siwe wa kjtia mashakani,
Kuwa mpenzi wa dini,
Nami nweke moyoni...

Wakisema sisi majinuni,
Wakisema tuko ujingani,
S'kze mahayawani,
Kamwe usiwaamini,

Kwako haitakua lini,
Kwangu si wazo geni,
Nlikupenda toka zamani,
Tangu zama za walo kaburini,


Comments about Sundus by Hudhaifah Siyad

There is no comment submitted by members..Read this poem in other languages

This poem has not been translated into any other language yet.

I would like to translate this poem »

word flags

What do you think this poem is about?Poem Submitted: Friday, December 16, 2011

Poem Edited: Saturday, December 17, 2011


[Report Error]