Upendo unaweza kuponya au kuharibu,
Moyo wako limeniponya,
Ni kweli, hii ni baraka,
Iliyopangwa kutoka kwa uumbaji,
Sikuwa na lolote, hata nguo la kufunika aibu langu,
Nilipokutana nawe,
Lakini uliniamini miye,
Kitu ambacho familia yangu ilishindwa kuona,
Ulitia bidii ili tuwe hapa,
Wawili watakuwa mwili mmoja,
Kweli, nakuheshimu mpenzi,
Jina la baba yangu litaendelea Kwa vizazi.
© Fely g chronicles
This poem has not been translated into any other language yet.
I would like to translate this poem