Gideon Kabuko

Gideon Kabuko Poems

WAsojali ndio hao, wametuchezea sana,
Wacheki viburi vyao, Twaona Hawana maana,
Vipana ni vichwa vyao, Tumekuja kuwachana,
Tumesota Vya kutosha, sasa ndio Zamu yao.
...

The Best Poem Of Gideon Kabuko

Wasojali

WAsojali ndio hao, wametuchezea sana,
Wacheki viburi vyao, Twaona Hawana maana,
Vipana ni vichwa vyao, Tumekuja kuwachana,
Tumesota Vya kutosha, sasa ndio Zamu yao.

Kalikwenda kakarudi, Kamejileta kenyewe,
Kufika haina budi, ati Twajila wenyewe,
Ofisini Tick Gudi, wanajilaza penyewe,
Tumesota Vya kutosha, sasa ndio zamu yao

Gideon Kabuko Comments

Gideon Kabuko Popularity

Gideon Kabuko Popularity

Close
Error Success