WAsojali ndio hao, wametuchezea sana,
Wacheki viburi vyao, Twaona Hawana maana,
Vipana ni vichwa vyao, Tumekuja kuwachana,
Tumesota Vya kutosha, sasa ndio Zamu yao. ...
Poems are the property of their respective owners. All information has been reproduced here for educational and informational purposes to benefit site visitors, and is provided at no charge...