Gideon Kabuko


Wasojali - Poem by Gideon Kabuko

WAsojali ndio hao, wametuchezea sana,
Wacheki viburi vyao, Twaona Hawana maana,
Vipana ni vichwa vyao, Tumekuja kuwachana,
Tumesota Vya kutosha, sasa ndio Zamu yao.

Kalikwenda kakarudi, Kamejileta kenyewe,
Kufika haina budi, ati Twajila wenyewe,
Ofisini Tick Gudi, wanajilaza penyewe,
Tumesota Vya kutosha, sasa ndio zamu yao

Topic(s) of this poem: politics

Form: Elegy


Poet's Notes about The Poem

An elegy poem for directing reader's

Comments about Wasojali by Gideon Kabuko

  • Gideon Kabuko (7/1/2017 7:33:00 AM)

    Shairi zuri sana linatufanya Tuweze kujua mambo mengi kuhusu maendeleo Ya demokrasia Yetu (Report)Reply

    0 person liked.
    0 person did not like.
Read all 1 comments »

Maya Angelou

Caged BirdRead this poem in other languages

This poem has not been translated into any other language yet.

I would like to translate this poem »

word flags


Poem Submitted: Saturday, July 1, 2017[Report Error]