3 Hapana Pwaguzi Poem by Muriungi Martin

3 Hapana Pwaguzi

1 Mja ninanena, neno la hikima,
Sio kuwachana, wenye taadhima,
Naweka bayana, mbaini hima,
Mjuwe hakuna, mume wa waume.

2Mume wa waume, dunia hakuna,
Tawa gumegume, gwiji kijiona,
Japo nyamaume, tatishwa na wana,
Sijifanye pwagu, tapata pwaguzi.

Thursday, June 22, 2017
Topic(s) of this poem: sorry
COMMENTS OF THE POEM
Anzelyne Shideshe 06 August 2017

Kiswahili kitukuzwe.! ! ! ! ! !

0 0 Reply
Muriungi Martin 29 July 2017

Nashukuru linet.

0 0 Reply
Linet Sabastian 07 July 2017

Umetunza vyema, ubunifu wako ni wa hali ya juu.

0 0 Reply
READ THIS POEM IN OTHER LANGUAGES
1 / 2
Muriungi Martin

Muriungi Martin

Meru, Kenya
Close
Error Success